Sinza EAGT Saccos

Sinza EAGT Saccos

.,Sinza Makaburini near Mwi,Dar-es-salaam - Central,Dar es Salaam
Contact Phones: .,+255 (0) 222 700 665
Web Address: www.secs.co.tz/
Write to Us
 
About Sinza EAGT Saccos

Chama cha SINZA EVANGELICAL CHURCH SACCOS (SECS), kilianzishwa rasmi tarehe 5/02/2005 , kwa juhudi za mwasisi wake ambaye ni ndugu Mary Mkondya, chini ya uongozi thabiti wa maafisa ushirika akiwemo ndugu Rose Mhekwa na ushauri mzuri wa walezi wa chama Mchungaji Dr. Alphonce Mwanjala pamoja na Mchungaji Caristi Masalu ambaye kwa sasa ni marehemu. Chama hiki cha SACCOS kilianzishwa kwa madhumuni ya ni kuinua na kustawisha hali ya maisha ya wanachama kikiwa na wanachama ishirini na nane (28) wote wakiwa wanawake ambapo mpaka sasa kina wanachama zaidi ya 220. Ili kuwa mwanachama wa SINZA EVANGELICAL CHURCH SACCOS, karibu kwenye ofisi zetu zilizopo Dar es salaam eneo la sinza makaburini karibu na kanisa la sinza evangelical church upate elimu ya ziada juu ya faida za kuwa mwanachama wa saccos (haswa yetu), namna ya kuweka ili uwezeshwe ukawekeze.
[Compliances and Memberships/Affiliations]